
Mbwana Samatta akiwa Aston Villa
Nahodha wa timu ya Taifa “Taifa Stars” na mshambuliaji wa Aston Villa Mbwana Samatta baada ya jana kufunga goli ametoa ya moyoni alipokua akiongea na mtandao wa klabu yake hiyo mpya.
Samatta alitumia dakika 69 kufunga goli lake la kwanza katika mchezo wa kwanza wa Epl akiwa na Aston Villa katika mchezo dhidi ya Bornemouth. Hata hivyo mchezo huo uliisha kwa Villa kupoteza kwa mabao mawili kwa moja.

Samatta “Ni sawa unapofunga goli kama mshambuliaji, lakini unapopoteza mchezo huwezi kuwa na furaha kwasababu kama timu tunatakiwa kushinda pamoja na kupoteza pamoja.”
Mpaka sasa Aston Villa imeshuka dimbani mara 25 huku pia ikiwa na alama 25 ikiwa nafasi ya 17, huku ikiwa juu kidogo ya mstari wa kushuka daraja.
Unaweza soma hizi pia..
Tottenham na maamuzi ya ubingwa kwa Liverpool!
Sababu kubwa ya msingi kwa Spurs kuonekana ni' mfalme' katika mechi 8 zilizobaki kwa pande zote mbili ni ubora wao miongoni mwa timu bora
Adui No1 wa Pep Guardiola
Wapwa: Kweli "zimwi likujualo halikuli likakwisha" kufuatia matokeo ya Premier league usiku wa jana inaashiria kitu.
Jiko la Liverpool na Mpishi Mkuu Jurgen Klopp
Swali linakuja, Je Liverpool wataweza kuendelea kutesa timu nyingine kwa mfumo huu huu ndani ya mwaka wa nne sasa. Soma tupe maoni yako.
Samatta huyoo West Brom
Baada kuanza kwa kipigo cha mabao matatu kwa sifusi West Brom wanahitaji mshambuliaji wa kwenda kuongeza nguvu katika eneo la mbele huku wakiona Mbwana Samatta