Simba sc mabingwa wa Ligi Kuu Bara 2019
Ligi Kuu

Simba Bingwa wa TPL

Sambaza....

Klabu ya soka ya Simba imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa mwaka 2018/2019 baada ya kuifunga Singida united pale Namfua stadium kwa mabao mawili kwa sifuri.

Tazama msimamo hapa baada ya ushindi wa mabao mawili kwa sifuri huku magoli ya Simba yakifungwa na Meddie Kagere dakika ya 10 na John Bocco dakika ya 60.

Msimamo wa Ligi Kuu Bara

#TimuPWDLGDPts
13829636293
23827562986
338211253375
438131691555
53814816250
638121313-849
73813916-148
838111512-1048
938121214-1248
1038111413-647


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.