Ligi Kuu

Wazee wa moja moja waipumulia Simba!

Sambaza kwa marafiki....

Baada ya leo tena kufanikiwa kuifunga Mtibwa Sugar bao moja kwa sifuri sasa Yanga wanafikisha alama 10 sawa kabisa na mahasimu wao Simba wenye alam kumi pia huku tofauti ikiwa ni tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa!

Msimamo Ligi Kuu Bara

#TimuPWDLFAGDPts
1550092715
254101421213
3541071613
4531162410
5531153210
6531134-110
753028449
852034406
9520323-16
10512234-15
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz