Ligi Kuu

Yanga yarejea kileleni!

Sambaza....

Unaweza sema ni kama Yanga waliwatanguliza Simba mbele ili wawalindie kiti chao cha uongozi wa Ligi baada ya hii leo kuifumua Ruvu Shooting na kurejea kileleni kama kawaida.

Goli la Papy Kabamba Tshishimbi lilitosha kuipa alama tatu Yanga mbele ya Ruvu Shooting na hivyo kuishusha Simba mpaka nafasi ya pili. Baada ya ushindi wa leo sasa Yanga inafikisha alama 83 na Simba wakibaki na alama 82.

Tazama hapa msimamo baada ya mchezo wa leo.

Msimamo Ligi Kuu Bara

#TimuPWDLGDPts
13829636293
23827562986
338211253375
438131691555
53814816250
638121313-849
73813916-148
838111512-1048
938121214-1248
1038111413-647


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.