Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Blog

Kamati ya utendaji kumrejesha Lwandamina

Baada ya kocha mkuu wa Yanga sc, George Lwandamina kutimka klabuni hapo taarifa zinasema kuwa hakuwa na maelewano mazuri kati yake na Katibu mkuu Charles Boniface Mkwasa "Master" Taarifa za chini ya kapeti zinaeleza kwamba, Mkwasa anataka kurejea kunako nafasi yake ya ukocha na kuachana na ile ya Katibu mkuu...
Mabingwa Ulaya

Rekodi za Bernabeu zinavyoibeba Madrid

Baada ya kushuhudia vilabu vya Barcelona na Manchester city, vikitupwa nje ya michuano Uefa Champions League leo hii tutashuhudia Bayern Munich wakikaribisha Sevilla, lakini pia Real Madrid wataikaribisha Juventus ya Italia Juventus hawana rekodi ya kuridhisha wanapoingia kunako dimba la Santiago Bernabeu, katika michezo 8 waliyocheza kunako uwanja huu wameshinda...
Ligi Kuu

Yanga kujipima kwa Singida kabla ya kuwavaa Ditcha

Kocha mkuu wa Yanga sc, George Lwandamina amepanga kuutumia mchezo wa kesho dhidi ya Singida United kuwa sehemu maandalizi ya kikosi chake kuelekea katika mchezo wa marejeano na Wolaita ditcha Jumanne ijayo Aprili 17, 2018 Yanga inataraji kuvaana na Singida United kesho, kunako uwanja wa taifa jijini Dar es salaam...
La Liga

Ni derby ya Madrid katika vita ya kuwania nafasi

  Leo kuna derby nyingine pale Hispania kunako ligi kuu ya nchini humo maarufu kama La Liga, ambapo Real Madrid watakuwa nyumbani Santiago Bernabeu kuwakaribisha wapinzani wao wa jadi Atletico Madrid Licha ya kuwa ni wapinzani wa jadi, lakini vita kubwa katika derby hii ni kuwania kumaliza kunako nafasi ya...
Blog

Rufaa ya kigogo wa TFF yatupwa

Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la soka nchini (TFF), limetupilia mbali rufaa ya aliyekuwa makamu wa raisi wa Shirikisho hilo Michael Wambura aliyepinga kufungiwa maisha. Wambura alifungiwa maisha na kamati ya maadili kufuatia kufunguliwa mashitaka na Sekretarieti ya TFF. Mwenyekiti wa kamati ya rufani, ndugu Ebenezer Mshana, ameviambia vyombo vya...
Mabingwa Ulaya

Rekodi zinavyompasua kichwa Pep Guardiola

Ni mchezo wa robo fainali ya michuano Uefa Champions League, Liverpool dhidi ya Manchester City ni mchezo unaowakutanisha makocha bora kwa sasa barani Ulaya Juggen Klopp ndiye kocha aliyefanikiwa kuwa kikwazo kwa Pep Guardiola, rekodi zinaonesha amemfunga mara sita katika michezo 12, waliyokutana ikiwa ni idadi kubwa zaidi kuliko kocha...
Shirikisho Afrika

Ngoma IN, Chirwa OUT!

Mshambuliaji wa Yanga sc, raia wa Zambia Obrey Cholla Chirwa ataukosa mchezo wa kwanza dhidi ya Woloyta Dicha kufuatia kuwa adhabu ya kadi mbili za njano alizopata katika michezo dhidi ya Township Rollers ya Botswana, huku habari njema ni kurejea kwa mshambuliaji Donald Ngoma. Ngona aliyeanza mazoezi na kikosi hicho...
Shirikisho Afrika

Yanga sc yahamishia nguvu zao shirikisho

Mara baada ya kutupwa nje ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) hapo jana na Singida United,  kikosi cha Yanga sc kinataraji kurejea jijini Dar es salaam leo. Yanga ilishindwa kuingia hatua ya nusu fainali baada ya kufungwa kwa penati 4-2, kutoka kwa Singida United kufuatia matokeo ya sare...
ASFC

Mtibwa sugar yaifata Chama la Wana

Timu ya Mtibwa sugar imetinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Azam ya michuano ya Azam Sports Federation Cup, baada ya kupata ushindi wa penati 9-8 dhidi ya Azam FC kufuatia sare 0-0 katika dakika 90 za mchezo. Mara baada ya dakika 90, kukamilika ndipo changamoto ya mikwaju ya...
ASFC

Chama la wana watinga nusu fainali.

Timu ya Stand United "Chama la wana" ya Shinyanga imekuwa timu ya kwanza kuingia nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Njombe mji FC ya Njombe Mchezo huo uliopigwa kunako uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga, Stand United ilijipatia bao...
1 5 6 7 8 9 17
Page 7 of 17