Ligi KuuAlli Kamwe: Yanga imeifunga Yanga B!Thomas Mselemu2 years agoBao la 2 la Yanga ni OFFSIDE. Kama Shuti la Mauya lingekwenda moja kwa moja, hakuna tatizo.
Mabingwa AfrikaVigogo wa Afrika wanalakujifunza kwa Simba hii!Thomas Mselemu2 years agoSimba licha ya kutolewa katika robo fainali ya klabu bingwa Afrika mara mbili na Shirikisho mara moja lakini bado hakupoteza nyumbani
ASFCYametimia wanakutana tenaThomas Mselemu2 years agoTangu kombe hili lirudi Simba amekua na historia nzuri mbele ya mwenzake, katika michezo mitatu yote Simba ameshinda
Ligi KuuKocha Yanga: Kesho tunacheza mechi mbili.Thomas Mselemu2 years agoYanga wakaua makao makuu ya nchi Jijini Dodoma kupepetana na Dodoma Jiji katika Ligi Kuu ya NBC.
TetesiManara ataja timu atakayokwenda Morrison.Thomas Mselemu2 years agoKila lakheri huko uendako, kwa taarifa nilizozipata mida hii najulishwa unaelekea klabu kubwa Barani Afrika
ASFCKocha Pablo kushusha kikosi kamili.Thomas Mselemu2 years agoPablo Franco kocha mkuu wa Simba amesema katika michuano hii kwa hatua iliyofikia hakuna timu raisi.
UhamishoSimba yatangaza rasmi kuachana na MorrisonThomas Mselemu2 years agoKumekuwepo na tetesi zinazomuhusisha Benard Morrison kurejea klabu yake ya zamani Yanga ambayo aliitumikia kabla ya kujiunga na Simba.
ASFCSimba: Pamba wazuri, tunaitaka Yanga.Thomas Mselemu2 years agoTunajua kwamba kila mmoja analitazama hili kombe (kombe la FA) kutokana na umuhimu wa kuweza kuwa nalo na ni kombe ambalo lipo mikononi mwetu
Ligi KuuKwa Yanga hii ubingwa upo palepale!Thomas Mselemu2 years agopresha ya ubingwa kuanza kutawala kuanzia kwa mashabiki mpaka kwa wachezaji wa Yanga.
UhamishoSimba: Tunawaza kumsajili Simon Msuva!Thomas Mselemu2 years agoKwasasa Simon Msuva yupo nchini akiwa hana klabu anayoichezea baada ya kushindwa kufikia muafaka na waajiri wake Wydad Casablanca