Mshabiki wa Tanzania wakishangilia
BlogTahariri

Mashabiki tuanze kujichanga mapema!

Sambaza....

Mshabiki wa timu ya taifa Tanzania, Taifa Stars, ni vema kuanza kujichanga mapema, kwakuwa mlango wetu wa kwenda AFCON 2019 upo Lesotho.

Huu ni wito tu kwa mashabiki wa kandanda Tanzania, huko twende tukawape nguvu mashujaa wetu huko ugenini ili tuje tusherehekee kwa nguvu dhidi ya Uganda hapa nyumbani.

Tanzania itarudiana na Lesotho tarehe 18 Mwezi wa 11 huko Lesotho.

Msimamo wa kundi L

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x