Sambaza....

Uongozi wa Azam FC, leo umemtangaza rasmi Hans Van Der Pluijm kuwa Kocha wake mkuu kuchukua mahala kwa Aristika Cioaba aliyetimka kunako klabu hiyo

Pluijm, anajiunga na Azam FC akitokea Singida United aliyoiwezesha kucheza fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup

Azam FC, walikuwa kimya kuhusiana na suala hilo hadi hii ipotamka rasma kupitia kwa Afsa Habari wa klabu hiyo, Jaffary Iddi Maganga

Pamoja na Pluijm, Maganga amesema kuwa Jumatatu watamtangaza mchezaji mwingine mpya watakaemsaini kwa ajili ya msimu ujao wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara

Sambaza....