Madrid 3, City 3. Ya Kibabe
Mechi Bora sana kuanzia mbinu mpaka uwezo wa…
Mechi Bora sana kuanzia mbinu mpaka uwezo wa…
Wanajeshi hao wamedhamiria kupanda Ligi na si ajabu kufanya kwap vyema kunatokana na kusheheni mastaa kibao walioahi kutesa na timu za Ligi Kuu
Kuelekea mchezo huo muhimu kwa Pamba tayari wiki nzima hii kumekua na kampeni kubwa ya kuhamasisha mashabiki wajitokeze kwa wingi ili kuiunga mkono Pamba katika mchezo huo.
Ligi hiyo imeendelea kushika kasi huku timu za JKT Tanzania, Pamba Fc, Kitayosce na Mashujaa zikipambana kupata nafasi ya kupanda Ligi kuu
Makubaliano hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City ukihudhuriwa na wadau mbalimbali wa soka pamoja na waandishi wa habari za michezo nchini.