Darueshi Saliboko

Sambaza kwa marafiki....

 


Galacha wa mabao wa mwezi Novemba 2019 akiwa na Lipuli Fc Daruesh Saliboko, Saliboko aliifungia Lipuli mabao matano mwezi huo, na jumla kuu ni mabao saba katika msimu huu huku msimu uliopita akifunga bao 1.

TPL

MsimuTimu
2017-2018Lipuli FC0000000
2018-2019Lipuli FC1000000
2019-2020Lipuli FC10000000
Jumla-11000000
Name
Darueshi Saliboko
Utaifa
tan Tanzania
Nafasi
Straika
Sasa
Lipuli FC
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz