Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Mechi 20, Magoli 20 hakuna kama Samatta Ulaya yote.

NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Samatta usiku wa kuamkia leo alifunga magoli mawili ya harakaharaka dakika za mwisho na kuirudisha timu yake ya KRC Genk kileleni mwa msimamo wa ligi kuu Ubelgiji baada ya kuichapa Royal Antwerp mabao 4-2. Genk walipata ushindi huo wakiwa ugenini na sasa wapo mbele kwa alama...
Blog

Obi atemwa timu ya Taifa.

Nahodha wa timu ya kandanda ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles' Mikel John Obi kwa mara nyingine ameachwa katika kikosi cha timu ya Taifa kinachojiandaa na michezo miwili ya Kimataifa. Obi ambaye alikiongoza vyema kikosi cha Super Eagles katika fainali za Kombe la Dunia mwezi Juni nchini Russia ameachwa na...
Blog

The Cranes kuingia kambini Nov 9, watatu wa TPL wajumuishwa.

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' Sebastien Desabre amewaita kikosini wachezaji watatu wanaocheza Ligi kuu Tanzania Bara Kwa ajili ya michezo miwili ya Kimataifa. Desabre amewaita Nicolas Wadada wa Azam, Emmanuel Okwi na Jjuuko Murushid wote wa Simba SC katika kikosi hicho ambacho kitacheza na Cape...
Blog

Siku Tisa bila MO Dewji , Hans Poppe aliiokoa Simba.

SIKU tisa tu bila uwepo wa ‘mwekezaji mtarajiwa’ Mohamed Dewji ‘MO’ klabu ya Simba SC ‘ilitengeneza’ deni lisilopungua Shilingi milioni 70 katika hoteli moja ya kifahari jijini Dar es Salaam. MO alitekwa na kushikiliwa kwa muda wa siku tisa mapema mwezi huu na watu wasiojulikana. Mwenyekiti wa Kamati ya usajili...
Blog

Simba yenye NDEMLA ni hatari zaidi kuliko Simba yenye MKUDE!.

Said Khamis Ndemla, mara nyingi tumekuwa tukimuona anacheza katika eneo la kiungo mshambuliaji. Lakini katika mechi mbili zilizopita (mechi dhidi ya Stand Unite na mechi dhidi ya Alliance). Said Khamis Ndemla alicheza katika eneo la kiungo wa chini. Amecheza kama HOLDING MIDFIELDER. Eneo ambalo mara nyingi James Kotei na Jonas...
Blog

“NDEMLA” toka “TANZANIA” isiyo na “NIA” na wewe!

Kila mguu wake unapokanyaga nyasi za uwanja wa taifa kuna kipya hutokea. Hii ni kwa sababu udongo mwingi wa kutengenezea vipaji ulitumika katika miguu yake. Mwili wake ni mdogo sana!, udogo wa umbo lake ulisababishwa na MUNGU kutumia wingi wa udongo kuumba miguu ya Said Khamis Ndemla. Hili ndilo eneo...
Blog

Kelvin John ‘Mbappe’ apata dili nchini Denmark.

Nyota wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya Umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ Kelvin Pius John 'Mbappe' anatarajiwa kuwa nchini Denmark kwa muda wa siku 18 katika Programu ya maendeleo ya kimichezo na timu ya HB Koge inayoshiriki ligi kuu nchini humo. Wakala wa mchezaji huyo ambaye ni...
Blog

Zahera Anakubaliana na Mimi kuwa Ajib ni Mchezaji wa mechi Ndogo??

Niliwahi kuandika kuhusu uwezo wa Ibrahim Ajib Migomba. Maandishi yangu yalionesha dhahiri ninavyomkubali na kumuelewa Ibrahim Ajib Migomba. Naamini kupitia miguu ya Ibrahim Ajib Migomba, naelewa kupitia kipaji chake kabisa. Mimi ni mmoja wa watu ambao najivunia mboni za macho yangu kuona kipaji kikubwa kwenye miguu ya Ajib. Miguu ambayo...
1 63 64 65 66 67 85
Page 65 of 85