Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Zahera Anakubaliana na Mimi kuwa Ajib ni Mchezaji wa mechi Ndogo??

Niliwahi kuandika kuhusu uwezo wa Ibrahim Ajib Migomba. Maandishi yangu yalionesha dhahiri ninavyomkubali na kumuelewa Ibrahim Ajib Migomba. Naamini kupitia miguu ya Ibrahim Ajib Migomba, naelewa kupitia kipaji chake kabisa. Mimi ni mmoja wa watu ambao najivunia mboni za macho yangu kuona kipaji kikubwa kwenye miguu ya Ajib. Miguu ambayo...
Blog

Amy Ninje ni Boss Mpya wa Amunike.

Kamati ya utendaji ya TFF imemteua aliyewahi kuwa kocha wa Ngorongoro Heroes na Timu ya taifa ya Tanzania bara "Kilimanjaro Stars" kuwa mkurugenzi wa ufundi wa TFF. Amy Ninje anachukua nafasi hiyo kutoka kwa Oscar Milambo ambaye alikuwa anakaimu nafasi hiyo baada ya aliyekuwa mkurugenzi wa ufundi wa TFF Mzee...
Blog

Mkeka wa “Kumfilisi Mhindi” jumamosi ya leo.

Roma vs SPAL 2013 Roma kushinda. Sababu. Form ya sasa kwa hizi timu. Mechi tano zilizopita, Roma ameshinda mechi 4 na kufungwa mechi 1. Wakati SPAL 2013 katika mechi tano zilizopita imeshinda mechi 1 na kufungwa mechi 4. Katika mechi tano zilizopita kati ya Roma na SPAL 2013, Roma hawajafungwa...
Blog

Mo apatikana

Tajiri namba moja kijana Afrika na mfanyabiashara maarufu hapa nchini Mohammed Dewji amepatikana akiwa ameterekezwa katika viwanja vya Gymkhana Posta jijini la Dar-es-Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari kamanda wa kanda maamulumu wa Dar-es-Salaam, Lazaro Mambosasa amedhibitisha kuwa walipata taarifa kuwa Mohammed Dewji majira ya saa nane usiku katika viwanja...
Blog

Hiki ndicho kitu mhuhimu toka kwa Mhe. Rais

Asubuhi ya leo tulipata taarifa za Kuitwa kwa timu ya Taifa pale Ikulu, wapenzi wanamichezo wote walikuwa na shauku kujua kuna jambo gani. Ingawa tulijua ni kuhusu safari yetu ya Cameroon 2019, lakini shauku ilikuwa kubwa kujua Mhe. Rais Dkt John Pombe Magufuli ataongea nini. Hii ni sehemu ya taarifa...
Blog

Niliwahi kumuona “GUARDIOLA” Kwenye mwili wa “DJUMA”.

Historia iliwahi kuniaminisha kuwa Joseph Omong atafanya vizuri katika klabu ya Azam Fc. Nilikuwa na imani kubwa sana juu ya hili. Kwanini niliamini hivi ?, Azam Fc ilimchukua kocha ambaye aliwahi kushinda kombe la shirikisho barani Africa akiwa na AF Leopards. Niliamini kupitia mafanikio haya, niliamini Azam FC wamemchukua kocha...
BlogTahariri

Mashabiki tuanze kujichanga mapema!

Mshabiki wa timu ya taifa Tanzania, Taifa Stars, ni vema kuanza kujichanga mapema, kwakuwa mlango wetu wa kwenda AFCON 2019 upo Lesotho. Huu ni wito tu kwa mashabiki wa kandanda Tanzania, huko twende tukawape nguvu mashujaa wetu huko ugenini ili tuje tusherehekee kwa nguvu dhidi ya Uganda hapa nyumbani. Tanzania...
1 64 65 66 67 68 85
Page 66 of 85