Sambaza....

Tovuti ya kandanda imeendelea kuwapongeza wachezaji wa Ligi Kuu wanaofunga mabao mengi katika kila mwezi. Mwezi wa nane wakati ligi ikianza alikuwa ni Meddie Kagere. Hatimae David Ambokile Eliud ameibuka kuwa mfungaji ambae atapewa zawadi kutoka tovuti yetu ya kandanda.

Tovuti itamtafuta Ambokile na kumkabidhi zawadi yake hivi karibuni.


Mbeya City vs Kagera Sugar FC (1)
Mbeya City vs Ruvu Shooting (2)
Mbeya City vs Alliance Sch (1)


Unaweza kuangalia orodha ya wafungaji kwa mwezi wa Tisa hapa na kwa ujumla hapa.

Sambaza....