United yaibanjua Stoke City
Manchester United imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Stoke City, katika mchezo wa ligi kuu ya soka Uingereza maarufu kama EPL Katika mchezo huo uliofanyika usiku wa kuamkia leo kunako dimba Old Trafford, Manchester United walipata bao la uongozi mapema dakika ya 9 kupitia kwa Antonio Valencia akimalizia kazi...