Sambaza....

Msemaji wa klabu ya Simba Hajji Manara ametoa tamko baada ya msemaji wa Klabu ya Yanga Dismas Ten baada ya kulalamikia vitendo vya wachezaji wa Simba James Kotei kumpiga ngumi mchezaji wa Yanga Gadiel Michael Mbaga!

Manara ameandika katika akaunti yake ya Instagram  “Hatukuwa wajinga tulipoamua kukaa kimya, tumewasaidia wale walioenda kushtaki TFF na Bodi ya Ligi na hili pia walipeleke. Yule karusha ngumi na huyu kapiga kichwa. Msidhani Haji ni mtu wa hovyo hovyo, mkiujua huu sisi tunaujua ule….soon ntaleta na ile kubwa kuliko au nipoze ? Mimi ndio Gavana de le boss..hahahaha…
Tukemee vitendo vyote vya kihuni viwanjani sio vya Simba tu…Ndegelec”

 

Sambaza....