Ligi Kuu

Tff yatoa ripoti ya mapato ya mechi ya Watani!

Sambaza....

Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF limetangaza kiasi cha fedha kilichopatikana jana katika mchexm wa Simba na Yanga uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Taarifa kutoka TFF “Mchezo72 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara(TPL) kati ya Simba na Young Africans uliochezwa Jumapili Septemba 30,2018 Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi milioni 404,549,000.”

Ikumbukwe katika mchezo huo SimbaSc ndio waliokua wenyeji wa pambano hilo.

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x