
Unaweza soma hizi pia..
Aheshimiwe mchezaji mzawa!
Kila shabiki haamini katika wazawa, sasa nani atawaamini? (Inafikirisha).
Imagine hali hii ingekuwa mtaani kote na kumhusu kila mmoja nani angepona.
Waliopata tuzo wamepata, kamati ya tuzo ikubali changamoto!
Eneo jingine lenye ukakasi kwangu ni tuzo ya mchezaji wa Championship (zamani ligi daraja la kwanza) na ile ya first ligi (zamani daraja la pili).
Anguko lakwanza la Azam ni chaguzi za wachezaji wao wakigeni.
wautazame sana msimu ujao ni namna gani wataisuka timu yao ili iwe yenye ushindani na kuchukua taji la ubingwa
FIFA wanamtaka Barbara, Simba hawamtaki!
Kuna wanawake ambao hawawezi kucheza mpira lakini wanatengenezewa mazingira ya kuuongoza mpira, kuwa waamuzi kwenye mpira, kuwa madaktari,