‘Scout’ ya bure kwa Yanga, fanyeni haraka sokoni.
Chumba cha KandandaTz kimeangazia wachezaji muhimu ambao klabu ya Yanga inatakiwa kufanya maamuzi. Hii scout ya bure ya kibabe.
Namungo yavamia tena Lipuli!
hakumaliza msimu vizuri na klabu yale ya Lipuli baada ya kutofautiana na uongozi na hivyo kupelekea kushindwa kujiunga na timu kumalizia Ligi baada ya mapumziko ya ugonjwa wa corona kumalizika.
Miraj Athuman na rekodi ya kutisha!
Baada ya Simba kuifunga mabao manne kwa moja Yanga na kukata tiketi ya kwenda fainali ya kombe la FA imekua ni habati na historia kwa upande wa wachezaji Shevi na Haruna Shamte.
Hivi David Mwantika aliondoka na Amunike?
Baada ya uteuzi wa mwalim Amunike wa kumpa nafasi Mwantika kuziba pengo la Morris wadau wengi walikosoa uteuzi wake.
Lipuli fc kama ilivyotarajiwa!
Ikimkosa mshambuliaji wao kiongozi Paul Nonga "Baba Jackiee" aliekwenda kufanya majaribio nje ya nchi.
Lipuli Wataambulia Mapato ya Mlangoni tu!
Hizi ni mechi za leo na kesho za mzunguko wa pili mzunguko wa 21. Kandanda tumekuwekea utabiri wetu wa kila mechi hapo chini. Unaweza kutupa na wewe pia
Yanga imeshinda lakini Julio anastahili pongezi!
Achana na utata wa waamuzi katika mchezo ule haswa pale mpira aliudaka kipa Menata ukileta kizaazaa kama ni kona au ulipita katika mstari wa goli,
Tunaendelea kunogesha utamu wa bao
Hongera Daruesh Saliboko Hongera Lipuli Fc Kwa kutoa mfungaji bora wa VPL mwezi Novemba 2019.
Kipa wa Simba amwaga wino Lipuli.
Kipa huyo amesaini kandarasi ya miezi sita ili kuweza kuitumikia Lipuli fc yenye maskani yake jijini Iringa.
Yupi kocha bora 2019 kati ya Aussems na Zahera?
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2019 , ingia ndani ya kandanda.co.tz andika kura yako kwenye tovuti na mshindi atapewa tunzo na Kandanda.co.tz