Lipuli fc imefanikiwa kuifunga Yanga sc na kukata tiketi ya kwenda fainali kumenyana na Azam fc mkoani Lindi baada ya kuifunga mabao mawili kwa sifuri.
Tovuti ya kandanda ilipata nafasi ya kutembelea mazoezi ya klabu ya Lipuli FC yenye maskani yake mjini Iringa. hizi ni picha mchanganyiko za mazoezi yao.