Ligi Kuu

Tunaendelea kunogesha utamu wa bao

Sambaza....

Haina ubishi kabisa, kufunga bao ni kitu cha fahari zaidi uwanjani, unaweza fanya yote uwanjani lakini kuutumbukiza mpira kimiani hapo ndipo penye utamu wa Kandanda.

Saliboko akiwa na kiatu na zawadi yake.

Kandanda.co.tz tunauchukua utamu ule uwanjani na kuedeleza sherehe yake nje ya uwanja kwa kumpa shibe ya nguvu na kitendea kazi imara zaidi kwa mfungaji wa mabao.

Hongera Daruesh Saliboko Hongera Lipuli Fc Kwa kutoa mfungaji bora wa VPL mwezi Novemba 2019 baada ya kuifungia klabu hiyo magoli matano (5).

Galacha wa Magoli VPL 2019/2020

Saliboko akipokea zawadi zake kutoka kwa Msimamizi wa Kandanda.co.tz upande wa masoko, Thomas Mselemu.

Saliboko akiwa na Meneja wa Klabu ya Lipuli Fc, Mimo.

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.