Tunaongoza kwa alama 16 ili Yanga atufikie tunatakiwa tupoteze michezo mitano, sasa Sheikh Simba hii inafungwaje michezo mitano? Tutakua wapi? Au tutakua tumelewa au tumelala?
Samata mchezaji wa zamani wa African Lyon, Simba sc na TP Mazembe anakua Mtanzania wakwanza kucheza katika Ligii Kuu nchini Uingereza maarufu kama EPL.
Klabu ya Simba ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, imebakiwa na mchezo mmoja tu kumaliza mzunguko wa kwanza dhidi ya Alliance.
Simba wamewazidi tena kwa Mara ya pili kwenye dirisha hili dogo la usajili. Kwa miaka ya hivi karibuni Simba imekuwa ikiwazidi Yanga kwenye usajili dakika za mwisho.
Mgalatia Francis J. Lumeya, shabiki wa kandanda, anaangazia kwa maoni yake kile anachoamini kuwa kiliifanya klabu ya Simba ishindwe kushinda mchezo wa Jana. Kombe la Mapinduzi ni la kwanza kila mwaka Tanzania.