Sambaza....

Beki wa klabu ya Arsenal, Laurent Koscielny, atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi 6 kufuatia kuumia mguu

Beki huyo, alipata maumivu katika mguu wake wa kulia katika mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya UEFA Europa League dhidi ya Atretico Madrid uliopigwa nchini Hispania Alhamisi iliyopita ambapo Arsenal ilifungwa bao 1-0.

Image result for Laurent Koscielny france

Koscielny, ameumia ikiwa imesalia majuma kadhaa kabla ya kufanyika kwa michuano ya kombe la Dunia, nchini Russia

Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps, amesema kuwa mchezaji huyo atakosa michuano ya kombe la Dunia inayoraji kuanza mwezi ujao nchini Russia

 

Sambaza....