Emmanul Okwi
Ligi Kuu

Baada ya “double hatrick” Simba watawala ufungaji bora

Sambaza....

Baada ya Emmanuel Okwi na Meddie Kagere kufunga mabao matatu katika mechi moja kwa mara ya kwanza msimu huu katika mchezo dhidi ya Coastal Union ni wazi sasa katika vita ya ufungaji bora imetawaliwa na wachezaji kutoka Simba sc.

Katika chati ya ufungaji bora ni Makambo wa Yanga na Salim Aiyee kutoka Mwadui ndio waliopo kwenye chati za juu pekee katika kinyanga’anyiro hicho.

Salim Aiyee

 

Tazama chati hapa ya Wafungaji bora:


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.