Unayakumbuka matukio haya? Matukio 10 yaliyoitikisa ligi msimu wa 2018/19.
Kipindi haya yote yanatokea, kumbe Msimamo wa TFF ulikuwa na kasoro, Kumbe Kagera Sugar ilibidi ndio wakacheze Playoff na Stand United Washuke daraja jumla jumla…Tff bhana we acha tu.
Mdhamini Mkuu TPL Sharti ayajue mambo haya!
Udhamini huo pia uliambatana na zawadi za washindi wa ligi, ambao walipewa shilingi milioni 80.4, mshindi wa pili ,milioni 40.2, wa tatu 28.7, wan ne 22 na timu yenye nidhamu ilipata milioni 17.
Lala salama ya TPL leo!
Kati ya timu sita zilizopanda mwaka jana ni timu za KMC, Coastal Union, Allince School ndio zipo salama huku Biashara, JKT Tanzania zikipambana kusalia Ligi Kuu Bara, African Lyon wao wameshashuka daraja tayari.
Nani bingwa wa ligi kuu 2018/19? Simba inazidi kusogea!
Nani kuibuka bingwa wa ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/2019? Simba, Yanga au Azam? Ingia upige kura yako na utoe maoni pia.
Kuipa ubingwa Yanga ni kupingana na Ulimwengu…
Simba itatangaza ubingwa katika mechi dhidi ya Ndanda, uwanja wa taifa au dhidi ya Singida United pale Namfua, lakini hayo yote yatakuja endapo Yanga atashinda mechi zake zote za ligi.
Baada ya Ngoma na Bocco kutupia tazama hapa vita ya ufungaji bora ilivyonoga!
Tazama hapa jinsi mchuano ulivyo mkali kisha toa maoni yako. Je kiatu kitabaki Tanzania kwa wazawa au kitaenda kwa mgeni?
Tazama msimamo hapa baada ya ushindi wa Azam fc na Mbeya city
Tazama msimamo wote hapa baada ya michezo miwili ya katikati mwa juma.
Natamani kumuona Singano wa Simba chini ya Cheche.
"wanapokuwa katika mazoezi, huwa nawaangalia kipi wanafanya wanapatia na kipi wanakosea, kwahiyo narekebisha baadhi ya vitu vichache japo muda hauruhusu lakini tutajitahidi kuhakikisha tunarekebisha lengo ni kupata ushindi"
Waamuzi waliwaua Alliance Fc dhidi ya Yanga
"lakini kikubwa niseme kuwa kwamba, Mimi napenda waamuzi wawe wanaangalia, tumenyima takribani penalti tatu".
Mwalimu mzuri wa Chama ni ‘Ndemla na sio Mkude’.
Haya yote sio lazima ayasikie kutoka kwa Aussems ni lazima aujue mchezo kama mchezaji. Na hapa ndio utapata maana halisi ya maneno ya Meddie Kagere kuwa “Game Intelligence is better than age” na ndio maana kila siku Emmanuel okwi anaonekana kuwa mtu