Ligi KuuUhamisho

Mbadala wa Kapombe

Sambaza kwa marafiki....

Zana Coulibaly, beki wa kulia, atambulishwa rasmi na klabu ya Simba leo hii. 

Zana anakuja kuongeza nguvu katika nafasi ya Shomari Kapombe ambae ni majeruhi sasa.

Uchambuzi zaidi kufuata….

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.