
Michezo ya nusu fainali ya Azamsports FederationCup tayari imepangiwa tarehe. Michezo hiyo itapigwa April mwaka huu, zikizihusisha timu nne zilizifuzu hatua hiyo ambazo ni Singida utd, Mtibwa Sugar, Stand UTD na JKT Tanzânia.
Mchezo wa kwanza wa nusu fainali utapigwa tarehe 20 April mwaka huu katika dimba la Kambarage Shinyanga ambapo Stand UTD itaikaribisha Mtibwa Sugar ya Morogoro.
Mchezo wa pili wa nusu fainali utapigwa tarehe 21 April mwaka huu katika dimba la Namfua ambapo Singida utd itaikaribisha JKT Tanzânia.
Fainali ya Azamsports FederationCup itapigwa May 31 katika uwanja utakaotajwa hapo baadae.
Unaweza soma hizi pia..
Simba na Yanga kukutana tena mwezi huu.
Ratiba ya kombe la Azamsports Federation Cup imetolewa leo na Shirikisho la Soka nchini TFF huku pia wakitaja na viwanja vitakavyotumika katika michezo hiyo ya nusu fainali.
Kombe la FA: Ni fainali ndani ya fainali.
Mchezo wa nusu fainali ni utakua na hadhi, ukubwa na umaarufu kuliko fainali yenyewe kutokana na aina ya wapinzani watakaokutana.
Yametimia wanakutana tena
Tangu kombe hili lirudi Simba amekua na historia nzuri mbele ya mwenzake, katika michezo mitatu yote Simba ameshinda
Kocha Pablo kushusha kikosi kamili.
Pablo Franco kocha mkuu wa Simba amesema katika michuano hii kwa hatua iliyofikia hakuna timu raisi.