Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Kagera Sugar ya Kagera imeshuka rasmi baada ya kutoka sare moja kwa moja na Mbao.
Michezo ya nusu fainali ya Azamsports FederationCup tayari imepangiwa tarehe. Michezo hiyo itapigwa April mwaka huu, zikizihusisha timu nne zilizifuzu...