Polisi: JKT hawapati kitu.
burudani kwa mashabiki wake ambao tangu msimu huu uanze hawajaiona timu yao na pia hawajawaona wachezaji wao wapya.
Mwakyembe amtaja Molinga, alisifia jeshi!
wale ni wanajeshi lazima kikosi kitakachopambana nao kiwe na nguvu muda wote.
Papy ni muhimu kwa Yanga kuzidi Morrison
Hapa ndipo umuhimu wa Papy Kabamba Tshishimbi unapokuja, inawezekana Bernard Morrison ni mchezaji hatari lakini Papy Kabamba Tshishimbi ndiye mchezaji.
Yanga yamkata Lamine Moro!
Katika mchezo huo baada ya kutokea purukushani kati ya wachezaji wa JKT Tanzania na Yanga sc Lamine Moro alionekana kumrukia teke kwa nyuma Kazimoto.
Mechi nne kufa na kupona Leo!
Mpaka sasa hivi African Lyon ndiyo timu pekee ambayo hatutokuwa nayo kwenye ligi kuu msimu ujao.
TFF watoa ufafanuzi, mechi ya JKT Tanzania na Yanga kupigwa Taifa.
Shirikisho la kandanda nchini ‘TFF’ limetoa ufafanuzi kufuatia Klabu ya soka ya JKT Tanzania kulalamikia mchezo wao ujao wa ligi...
Huu ndio msimamo wa JKT Tanzania kuelekea mechi dhidi ya Yanga.
Katibu Mkuu wa klabu ya soka ya JKT Tanzania Abdul Nyumba amesema hawajapokea barua rasmi kutoka Bodi ya Ligi ikionesha...
MO arudi Prisons, Nchimbi aende JKT, Kaheza akamuokoe Matola.
WAKATI ni timu tano tu zimemudu kufunga magoli 15 ama zaidi katika ligi kuu Tanzania Bara msimu huu, timu nane...
Utabiri wangu leo: Simba anatoa sare Tanga
Huu ni utabiri wangu wa mechi za leo Nyumbani Utabiri Mgeni Alliance Sch 1-2 Singida United JKT Tanzania SC 2-2...
Azam fc yavunja mwiko, yaichapa JKT Tanzania nyumbani!
Kwa mara ya kwanza klabu ya soka ya JKT Tanzania imepoteza mchezo katika uwanja wake wa nyumbani wa General Isamuhyo...