Ligi Kuu

Nani ameifungia magoli Simba Sc msimu huu?

Sambaza....

Safu ya ushambuliaji ya Simba Sc hakika ipo moto, mpaka sasa imeshafunga mabao 44 (Magoli 57 ya kufunga)  katika michezo 27 pekee ya Ligi kuu Tanzania bara.

Unaweza kutazama hapa nani amefunga goli kwa nafasi za wachezaji wanaocheza uwanjani. Pia unaweza kuona Simba imefungwa goli 11 tu.


Na.MchezajiNafasi
1rwaMeddie KagereMshambuliaji23
2tanJohn R. BoccoMshambuliaji16
3ugaEmmanuel A. OkwiMshambuliaji15
4zamCletus ChamaKiungo7
5tanAdam SalambaMshambuliaji4
6tanShiza Ramadhan KichuyaKiungo3
7tanHassan DilungaKiungo2
8tanPaul BukabaMlinzi1
9tanMzamiru YaasinKiungo1
10ghaAsante KwasiMlinzi1
11rwaHaruna F. NiyonzimaKiungo1
12tanSaid NdemlaKiungo1
13tanJonas MkudeKiungo1

Msimamo wa Ligi Kuu

#TimuPFAGDPts
1Simba SC3877156293
2Yanga SC3856272986
3Azam FC3854213375

 


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.