Ligi Kuu

Nani anaibeba Simba Sc?

Sambaza....

Klabu ya Simba ambayo ni bingwa mtetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, imebakiwa na mchezo mmoja tu kumaliza mzunguko wa kwanza dhidi ya Alliance.

Jumla ya mabao 31 yamefungwa na wachezaji wa Simba, na kuisaidia klabu hiyo kuendelea kuongoza Ligi hiyo. Kagere akiwa kinara wa magoli, tazama jedwali hili.


Na.MchezajiNafasi
1rwaMeddie KagereMshambuliaji22
2tanJohn R. BoccoMshambuliaji9
3codDeo KandaMshambuliaji8
4tanMiraji AthumaniKiungo7
5tanHassan DilungaKiungo7
6mozLuis MiquissoneKiungo4
7kenFrancis KahataKiungo, Mshambuliaji4
8braGerson F. VieiraMlinzi3
9sdnShaiboub A. AbdelrahmanKiungo2
10tanMohammed HusseinMlinzi2
11zamCletus ChamaKiungo2
12tanJonas MkudeKiungo2
13tanShiza Ramadhan KichuyaKiungo1
14tanIbrahim AjibKiungo1
15braTairone Santos da SilvaMlinzi1
16tanSaid NdemlaKiungo1
17tanErasto E. NyoniMlinzi1

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.