Haya ni matokeo ya mechi zote 28 za klabu ya Simba Sc msimu huu hadi ligi iliposimama. Mabingwa hao watetezi katika mechi zote hizo 28 wameshinda mechi 23, ikipoteza mechi tatu na kutoka sare mbili tu. Akipoteza kwa mtani wake na kutoa naye sare mechi moja pia.

Wachezaji wa Simba wakishangilia goli la kwanza katika mchezo dhidi ya Coastal Union
Unaweza soma hizi pia..
Kapombe: Mechi na Raja Casablanca ni sehemu ya maandalizi
Kwasasa Shomary hajaitwa kikosini Stars kiasi cha kupelekea wadau wa soka kutoa maoni tofauti na kuwa gumzo baada ya uteuzi huo wa kocha mpya wa Stars Adel Ameorouche.
Kiongozi Simba: Sasa njia nyeupe kwa Bocco kuwa kocha
Ahmed Alli pia katika hafla hiyo amesema John Bocco aliwahi kumwambia Simba haipaswi kununua mchezaji wa miaka 18 halafu ikawa inasubiri akomae ndio wamtumie.
Simba yapata mamilioni mengine kwenye soka la vijana
Tunatangaza udhamimi kwa Simba na moja kwa moja katika soka la vijana na kwa kuanzia tuu tutatoa hizi pesa.
Simba na Yanga kinawaka leo Uhuru.
Mchezo huo wa watani wa jadi unatarajiwa kuwa wa kuvutia kutokana na ushindani uliopo baina yao na matokeo ya sare katika raundi ya kwanza.