Sambaza....

Taarifa ambayo imetolewa na Shirikisho la Kandanda Tanzania, TFF, kupitia bodi ya Ligi Kuu chini ya mkurugenzi mkuu, Bwana Michael Wambura, ni kwamba mechi mbili zilizozihusu Yanga na Simba zimefutwa.

Mechi hizo zilizofutwa ni hizi hapa chini:

Sababu ya kufutwa mechi hizi hazijatajwa, lakini yawezekana ratiba ngumu nje ya Dar, Simba SC, ingeharibu ‘perfomance’ yake katika mechi ya Simba VS Yanga, tarehe 30.

 

Kipande cha taarifa kutoka TFF

Matokeo na Mechi za Simba na Yanga Msimu huu kabla ya kukutana tarehe 30.

 

Sambaza....