Fraga ni kipimo halisi cha umakini wa Simba ya Senzo!
Simba walimuacha okwi, James kotei Chuma, kipenzi cha Mashabiki, leo baadhi yao wanajutia uamuzi ule, kwanini kesho waruhusu Fraga aondoke?
Mbrazil avunja rekodi ya Coastal Union
Kwa matokeo hayo sasa Coastal Union wanabaki nafasi ya tatu wakiwa na alama zao 30 huku Simba wakiendelea kubaki kileleni wakiwa na alama 47.
SABABU Kwanini FRAGA ni bora kuzidi KOTEI
Jana kulikuwa na mechi kati ya Simba na KMC katika uwanja wa uhuru , mechi ambayo tulishuhudia Simba wakishinda goli...
Hakuna MU-BRAZIL mjinga, SIMBA yaitisha Yanga
Baada ya Jana Yanga kushinda kwa goli moja kwa bila dhidi ya Prisons kwenye mechi iliyochezwa Iringa katika uwanja wa...
Wabrazil wa Simba SC ni ‘fotokopi’ ya kina Jaja, Coutinho
Simba ilifikiria kuwasaini wachezaji kama Watler Bwalya, Jakaka Tuyisenge, Jean Mundele Makussu lakini wamewakosa wote hao labda ndio maana wamekimbilia Brazil.
Mfahamu beki Mbrazili wa Simba
Anaitwa Gerson Fraga Vieira (kazaliwa tarehe 4 Oktoba 1992), unaweza muita Gerson pia, ni Mbrazili anayecheza soka la kulipwa nchini India katika klabu ya ATK, akicheza nafasi ya beki.