Blog

Hii ndioo Yangaa!!

Sambaza....

Klabu ya Dar es Salaam Young Africans, almaarufu Yanga SC ilianzishwa tarehe 11 Februari 1935, ambapo leo hii inaadhimisha miaka 85. Huu ukiwa ni umri wa mtu mzima kabisa. Yanga ambayo msimu huu pia ikishiriki Ligi Kuu ya Vodacom, imejikusanyia mashabiki na wapenzi wengi ulimwenguni.

Kwa msaada wa ukurasa wao wa Facebook, hii hapa ni taarifa ambayo kama ulikuwa huifahamu basi ifuatilie.

Yanga iliingia ligi daraja la kwanza rasmi mwaka 1948 ligi wakati huo ikiongozwa na chama cha soka mkoa wa Pwani tu.

Rasmi Yanga SC ilianza kushiriki ligi daraja la kwanza ( sasa Ligi Kuu ) mwaka 1965 .

Toka kuanzishwa kwa ligi hiyo imefanikiwa kubeba kombe mara 26. Kwa mara ya kwanza ikibeba kombe mwaka 1968 na mwaka 1969 ukawa mwaka wao wa kwanza kushiriki michuano ya klabu bingwa Afrika.

Ubingwa ligi kuu Tanzania bara


1968, 1969, 1970, 1971, 1972, 1974, 1981, 1983, 1987, 1991, 1996, 1997, 2000, 2005, 2006, 2007–08, 2008–09, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015-16,2016-2017.Image result for yanga BINGWA LIGI KUU

Ubingwa kombe la muungano


1975, 1994, 1999, 2016

Ubingwa kombe la Kagame ( CECAFA )


1975, 1993, 1999, 2011, 2012
1976, 1986, 1992, Runner up CECAFA Club cup

Image result for yanga cecafa

Ushiriki klabu bingwa Afrika


1968, 1969, 1970, 1971, 1972, 1974, 1981, 1983, 1987, 1991, 1996, 1997, 2000, 2005, 2006, 2007–08, 2008–09, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015-16,2016-2017

Mafanikio muhimu:

1998 hatua ya makundi klabu bingwa Afrika. ( Robo fainali )

Ushiriki kombe la CAF


1997 – Preliminary Round
1998 – Group Stage
2001 – Second Round
2006 – Preliminary Round
2007 – Second Round
2009 – First Round
2010 – Preliminary Round
2012 – Preliminary Round
2014 – First Round
2016 – Second Round
2017 –

Mafanikio


Hatua ya makundi 2016.

Orodha ya makocha waliowahi kuifundisha Yanga SC toka mwaka 1991


1. 1991: Syllersaid Mziray(marehemu)
2. 1993: Nzoyisaba Tauzany (marehemu )(Burundi)
3. 1995: Tambwe Leya (marehemu) (DRC)
4. 1997: Sunday Kayuni
5. 1997: Steve McLennan (Uinegereza)
6. 1998: Tito Mwaluvanda(marehemu)
7. 1999: Raoul Shungu (DRC)
8. 2001: Charles Boniface Mkwasa
9. 2002: Jack Chamangwana (Malawi)
10. 2004: Jean Polycarpe Bonganya (DRC)
11. 2004: Syllersaid Mziray (marehemu)
12. 2005: Kenny Mwaisabula
13. 2006: Jack Chamangwana (Malawi)
14. 2007: Milutin Sredojevic ‘Micho’ (Serbia)
15. 2007: Razack Ssiwa (Kenya)
16. 2007: Jack Chamangwana (Malawi)
17. 2008: Dusan Kondic (Serbia)
18. 2010: Kostadin Papic (Serbia)
19. 2011: Sam Timbe (Uganda)
20. 2011: Kostadin Papic (Serbia)
21. 2012: Tom Saintfiet (Ubelgiji)

Image result for makocha wa YANGA
22. 2012-13: Ernie Brandts ( Dutch )
23. 2013-14: Hans Van Pluijm ( Dutch )
24. 2014: Marcio Maximo ( Brazil )
25. 2015-2016 Hans Van Pluijm ( Dutch )
26. 2016- George Lwandamina (Zambia)
27. 2017-2019: Mwinyi Zahera ( Congo)
28. 2019- Luc Eymael ( Ubelgiji)

Luc (Kushoto) kocha wa sasa na Mkwasa (Katikati) ambaye amewahi kuiongoza Yanga katika vipindi tofauti.

 


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.