Blog

Mkusanyiko wa Habari na Matukio tofauti ulimwenguni kote.

Blog

Kichuya umeenda MISRI ukiwa umenenepa sana.

Mtaani kuna picha yako inasambaa sana. Picha ambayo ulipiga kipindi ambacho ndiyo unatua Simba. Kipindi ambacho dunia ya mpira wa miguu ilikufahamu vizuri. Kipindi ambacho kila jicho lilijivunia sana kukuona wewe, hakuna ambaye alikuwa hana furaha kila alipouona mguu wako wa kushoto ukigusa mpira. Kuna wakati hata mashabiki wa Yanga...
Blog

Tumejifunza, na huu ndio utaratibu sasa.

Binadamu anajifunza wakati wote kutokana na makosa au kwa uhitaji wa jambo fulani, na mara zote lengo la mtu kukwambia ukweli hata kama unauma ina maana kuwa ubadilike au uboreshe au upunguze, lengo likiwa ni moja tu kukufanya uinuke tena.
1 52 53 54 55 56 85
Page 54 of 85