Sambaza....

Kikosi cha Simba kimekwenda mkoani Mtwara kikiwa na wachezaji 20 tu huku wengine wakibaki jijini Dar na kocha msaidizi Masoud Djuma.

Kikosi hicho cha Simba kilichotua Mtwara na ndege majira ya mchana kilipokelewa kwa shangwe na mbwembwe nyingi na mashabiki wa timu hiyo.

Wachezaji wa Simba waliosafiri kuelekea Mtwara leo ni:

1. Aishi Manula
2. Deo Munishi
3. Nicholas Gyan
4. Shomari Kapombe
5. Paul Bukaba
6. Pascal Wawa
7. Erasto Nyoni
8. Yusuph Mlipili
9. Jonas Mkude
10. Mohammed Ibrahim
11. Adam Salamba
12. Emmanuel Okwi
13. John Boko
14. Meddie Kagere
15. Clatous Chama
16. Mohammed Hussein
17. Mohammed Rashid
18. Said Ndemla
19. Hassan Dilunga
20. Shiza Kichuya

Sambaza....