Sambaza....

Huenda nyota wa klabu ya Liverpool, Mbrazili Philippe Coutinho akawa anaelekea katika klabu ya FC Barcelona kwa ada ya pauni milioni 133 kama ilivyoripotiwa na vyombo vya habari vingi.

Klabu ya Liverpool inaangalia uwezekano wa kumpata Thomas Lemar kama mbadala wa Coutinho.

Thomas Lemar
Thomas Lemar anaangaliwa kuwa mbadala wa Phillipe Coutinho

 

Sambaza....