Sambaza....

Kama tuna malengo ya kukuza soka letu, hiki ndicho moja kati ya vitu vya kuviangalia kwa jicho la tatu. Football Academy!.

Kituo cha House of Blue hope (HBH) kimefanikiwa na kinaendelea kuwakusanya vijana wenye umri chini ya miaka 15 kwaajili ya kuwapa mafunzo ya mpira wa miguu.

Kandanda.co.tz ilipata fursa ya kutembelea kituo hiki, na kukutana na vijana pamoja na wasimamizi wa kituo.
Utaratibu wao kuwapata vijana haw ni sharti kwanza wawe mashuleni na wakiwa na maendeleo mazuri shuleni.

Kituo pia kinawapa mafunzo ya lugha ya Kiingeleza katika kuwaandaa jinsi ya kujielezea wao wenyewe.

Sambaza....