archiveAlexis Sanchez

EPL

Hawa ndio nyota sita, wanaoondoka Manchester United.

Klabu ya soka ya Manchester United ipo mbioni kuwaachia nyota wake sita katika kipindi cha majira ya joto kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuisha mikataba, kupungua viwango vyao pamoja na sababu nyingine mbalimbali. Nia hiyo ni maalumu kwa ajili ya kumsaidia Kocha Ole Gunnar Solskajaer kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi...
EPL

Ole: Mpeni muda Sanchez.

Kocha wa muda wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer amesema anaamini kiwango cha mshambuliaji wake Alexis Sanchez kitaimarika licha ya kutupiwa lawama na mashabiki wake kutokana na kucheza chini ya matarajio ya wengi. Sanchez ambaye ni raia wa Chile alisajiliwa na Manchester United katika dirisha dogo la usajili mwaka jana...
EPL

Hawa Wanavuta Mkwanja Mrefu EPL

Soka ni mchezo pendwa sana na yawezekana ndio unaoongozwa, katika michezo yote duniani ni mchezo ambao una umri wa karne moja na miongo miwili toka kuanzishwa kwake mwishoni mwa karne ya 19 Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana kuutazama, licha matokeo ya kustaajabisha ambayo hutokea kwenye mechi zake lakini pia...
EPL

Jezi namba 7 itakuwa nzito au nyepesi kwa Sanchez?

Jana zilipatikana dakika 72 za kwanza za Alexis Sanchez. Dakika 72 ambazo zilimwezesha awe mchezaji bora wa mechi ya jana ya FA CUP dhidi ya Yeovil Town. Hii inatoa tafasri moja, ulikuwa mwanzo mzuri wa Sanchez ikizingatia kila jicho lilikuwa linamtazama yeye kila aliposhika mpira. Lakini hofu aliishusha chini, akawa...
EPL

Alaumiwe Sanchez au Arsenal?

Hatimaye Alexis Sanchez siyo mchezaji tena wa Arsenal, ni habari isiyofurahisha kwa mashabiki wa Arsenal lakini ndiyo ukweli wenyewe. Haijalishi unaumiza kiasi gani lakini unatakiwa kukubaliana nao. Kuondokewa na mchezaji muhimu katika kikosi chako. Mchezaji ambaye alikuja kuimarika zaidi katika kikosi chako lakini akakuacha na maumivu. Siyo mara ya kwanza...
Uhamisho

Sehemu ipi sahihi kwa Sanchez? Manchester City au United?

Kuna habari za kocha wa Manchester United, Jose Mourinho kuonekana kumtaka Alexis Sánchez, mchezaji kutoka kwa hasimu wake mkubwa, Arsene Wenger (Kocha wa Arsenal FC). Hii ni baada ya taarifa za awali kuonekana Manchester City kumwihitaji Alexie Sanchez tangu dirisha la usajili la majira ya joto na dirisha hili la...
Uhamisho

Pep anavyomuhitaji Sanchez

Kwanza tunaanza kumtazama Pep Guardiola namna alivyokijenga kikosi cha Manchester city aina ya uchezaji kwenye kikosi chake. Pep ni moja kati ya walimu wajanja sana, ukiangalia kikosi cha Manchester city namna kinavyocheza licha ya kumsukuma mpinzani kurudi kwenye eneo lake, lakini pia imekuwa na uwezo mkubwa wa kumiliki mpira kwenye...
1 2
Page 1 of 2
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz