Tano Bora
# | Timu | P | W | D | L | GD | Pts |
---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | ![]() | 30 | 20 | 9 | 1 | 47 | 69 |
2 | ![]() | 30 | 16 | 10 | 4 | 19 | 58 |
3 | ![]() | 30 | 14 | 10 | 6 | 21 | 52 |
4 | ![]() | 30 | 12 | 12 | 6 | 5 | 48 |
5 | ![]() | 30 | 11 | 11 | 8 | 2 | 44 |
Matokeo yote ya mechi za Simba
Unaweza soma hizi pia..
Simba kamili yatua Morocco na matumaini kibao.
timu kariba ya Raja Casablanca ni dhahiri inaweza kuonyesha ni kwa kiasi gani kikosi cha Simba kina mapungufu ama kimetimia katika maeneo gani haswa wakiwa nyumbani.
Msemaji Simba: Al Ahly wametufundisha kitu, mashabiki wamepata ujumbe wao.
Mashabiki wametambua nguvu yao katika mchezo huu na wametambua kuwa hiki ndo kipindi timu yao inawahitaji zaidi Uwanjani.
Ndo maana wamenunua tiketi kwa wingi tena ndani ya muda mfupi.
Yanga yamtimua kocha wake
Mpaka sasa Yanga Princess inashika nafasi ya nne ikiwa na alama 22 katika michezo 12 waliyoshuka dimbani
Simba kuanza safari ya Morocco kwa mafungu
Mpaka sasa Simba wana alama tisa nafasi ya pili wakati wapinzani wao Raja wapo kileleni wakiwa na alama 13 hivyo matokeo yoyote hayatobadilisha msimamo wa kundi D.