archiveSimba Sc

Tetesi

Simba yavamia Coastal yambeba pacha wa Mwamunyeto!

Ame maarufu kama Varane anasifika kwa umbo lake kubwa lililojengeka, utulivu na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu. Katika Msimu huu uliomalizika  yeye na Mwamunyeto wa walikua na pacha nzuri na kupelekea Coastal Union kutoka na "cleansheet" 13. 
Uhamisho

Mo Dewji: Simba haitosajili.

Baada ya klabu ya Yanga kuanza vurugu za usajili na Azam fc mashabiki wengi wa Simba wamekua wakisubiri kwa hamu kuona maboss wa Msimbazi wakijibu mapigo kwa kutambulisha nyota wapya
1 2 3 53
Page 1 of 53
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz