Sambaza....

Kocha mkuu mabingwa watetezi wa ligi ya soka Tanzania bara Yanga sc, George Lwandamina, leo hii ameshuhudia kikosi chake kikigawana alama na Mwadui Fc akiwa jukwaani

Lwandamina alikuwa jukwaani na baadhi ya viongozi wa Yanga katika kile kilichoelezwa kuwa kibali chake cha kufanyia kazi nchini kimekwisha muda wake

“Bado tunaendelea kufanyia kazi suala la kibali cha kocha na muda sio mlefu kitakuwa kimekamilika” ilieleza sehemu ya taarifa hiyo

Katika mchezo huo ambao Yanga walilazimishwa sare tasa ya 0-0 na Mwadui FC ya Shinyanga

Kwa matokeo hayo yanaifanya Yanga kuendelea kubakia kwenye nafasi ya tano (5) wakiwa na alama zao 22

Yanga yazidi kung'ang'ania chini

PosTimuPWDLFAGDPts
1Simba SC30209162154769
2Azam FC301610435161958
3Yanga SC301410644232152
4Tanzania Prisons30121262722548
5Singida Utd FC30111183028244
6Mtibwa Sugar FC30101192321241
7Lipuli FC30911102324-138
8Ruvu Shooting30911103137-638
9Kagera Sugar FC3081392327-437
10Mwadui FC30812103237-536
11Mbao FC30711132636-1032
12Stand Utd FC3088142236-1432
13Mbeya City FC3051692331-831
14Ndanda FC30611132331-829

Sambaza....