Yanga kuokoa Mamilioni ya Shilingi ifikapo Desemba- Ten
Klabu kubwa za Simba na Yanga hupoteza fedha nyingi kutokana na kukosa miundombinu ya msingi wanayoimiliki wenyewe katika soka.
Dismas Ten aomba radhi, adai akaunti ilidukuliwa!
Msemaji wa klabu kongwe nchini Dar Young Africans, Dismas Ten amewaomba radhi watanzania kutokana na kile kilichokuwa kikiwekwa kwenye ukurasa...
Yanga ina uongozi DHAIFU na kocha IMARA.
Basi viongozi wanatakiwa wawape wananchi kitu ambacho kinaweza kuwa na kumbukumbu kwao, mtu akinunua kitu kinabaki kwake kuliko kumuomba mtu atoe hela bila kupata kitu chenye kumbukumbu.
Manara awajibu Yanga!
Msemaji wa klabu ya Simba Hajji Manara ametoa tamko baada ya msemaji wa Klabu ya Yanga Dismas Ten baada ya...