Kombe la Dunia

Klabu zinazoongoza kwa kutoa wachezaji wengi kombe la dunia!

Sambaza....

Vikosi vya timu za taifa zilizofuzu kombe la dunia nchini Russia tayari vimetajwa huku baadhi ya mastar wakikosekana kwenye timu zao.

Vilabu mbalimbali vimekua vikitamani kutoa wachezaji wakazitumikie timu zao za Taifa ili kuongeza thamani yao katika soka. Klabu ya Manchester City pamoja na mafanikio makubwa waliyoyapata katika ligi pia imeifanyaka klabu hiyo kutoa wachezaji wake wengi katika timu za taifa.

Timu zilizotoa wachezaji wengi katika timu za taifa:

Klabu Wachezaji
Manchester City 17
Real Madrid 16
FC Barcelona 14
Chelsea 13
PSG 12
Tottenham 12
Manchester Utd 11
Bayern Munich 11
Juventus 10
Atletico Madrid 9
Al Ahly (Egypt) 8
Al Ahli (Saudi) 8
Monaco 8
Sevilla 8
Arsenal 7
Liverpool 7
Napoli 7

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x