Hapa Liverpool ndipo walipoingia kwenye mtego kwa kuzidiwa idadi ya viungo badala ya kuwa 3v3 inakuwa 4v3 ndipo game ilipohamia kwao hasa mpango wa kwanza
Tuchel na vijana wake watalazimika kujilaumu sana sana kutokubadilisha mbinu mara baada ya mabadiliko ya Camavinga ambaye aliongeza kitu kikubwa uwanjani.