Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Mwadui fc watakua wanaikaribisha Yanga katika uwanja wa Kambarage Shinyanga, wakati Coastal Union watakua Mkwakwani kuikaribisha Namungo fc katika mchezo wa kisasi.