Azam fc vs Lipuli fc katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Ligi Kuu

Msimamo upo hivi baada ya Simba kudondosha point!

Sambaza....

Baada ya michezo minne kupigwa mwishoni mwa wiki katika mikoa mitatu tofauti tayari msimamo wa VPL umebadilika na baadhi ya timu kusogea katika nafasi zao.

Yanga walipata ushindi mbele ya Mwadui fc siku ya Jumamosi tarehe 13, wakati Namungo fc walitoka sare ya mabao mawili kwa mawili dhidi ya wenyeji Coastal Union. Masau Bwire almanusura awapapase Simba uwanja wa Taifa kabla ya kupata sare ya bao moja kwa moja. Azam fc walikamilisha michezo ya “weekend” kwa kuifumua  Mbao fc mbili kwa sifuri.

Tazama msimamo hapa:

Msimamo VPL

#TimuPWDLGDPts
13827745788
238191541772
338201082670
43817138964
538151013255
638131510254
738141113353
83815716352
938121412250
103810199549
1138121115-647
1238121115-847
133813718-1246
1438111215-445
153812917-945
163812917-1045
1738111215-1245
183812818-844
193891415-741
20384628-5018

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.