Ligi Kuu

Tuliishia hapa katika ufungaji bora kabla ya Ligi kusimama

Sambaza....

Ligi Kuu Bara imerudi tena baada ya kusimama kwa muda mrefu kutokana na janga la virusi vya corona. Lakini kwasasa hali ni shwari na serikali kiruhusu shughuli za michezo kuendelea kama kawaida huku wakitoa muongozo wa vitu vya kufanyika ili kuendelea kuchukua tahadhari.

Meddie akiwa katika mazoezi

Leo Mwadui na Yanga wanafungua dimba huko Shinyanga katika dimba la Kambarage. Kabla ya msimu kusimana kutokana na corona tayari Meddie Kagere alishajihakikishia zawadi ya Galacha wa mabao kwa mwezi March.

Kabla ya Ligi kusimama tuliishia hapa katika kuwania kiatu cha ufungaji bora.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.