Wachezaji wa Coastal Union
Ligi Kuu

Tuliishia hapa katika msimamo wa VPL!

Sambaza....

Ligi Kuu Bara imerudi tena kama kawaida ambapo viwanja viwili vitawaka moto leo baada ya mapumziko ya muda mrefu kutokana na virusi vya corona.

Mwadui fc watakua wanaikaribisha Yanga katika uwanja wa Kambarage Shinyanga, wakati Coastal Union watakua Mkwakwani kuikaribisha Namungo fc katika mchezo wa kisasi.

Kabla ya ligi kusimama na michezo ya leo kuanza kupigwa msimamo wa Ligi Kuu Bara upo hivi:

Msimamo wa Ligi Kuu Bara huku ukionyesha form ya kila timu katika michezo minne kabla ya Ligi kusimama kutokana na janga la virusi vya corona.

Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.