Thomas Mselemu

Msimamizi wa Tovuti
Thomas Mselemu, Mtaalamu wetu wa masuala ya masoko mwenye ujuzi wa kuchambua kandanda na kupiga picha pia, anaifanya familia ionekane familia. Kipaji chake na elimu anaitumia vyema kuiweka tovuti katika malengo yake.
Mabingwa Ulaya

Usiku wa Ulaya umerejea tena!

Ule usiku wa Ulaya uliokua unasubiriwa kwa hamu kwelikweli na mashabiki wa dunia nzima umerudi tena. Ligi ya mabingwa Ulaya imerudi tena kwa moto wa hali ya juu kwa ufunguzi wa mechi kali na tamu ambazo zinakata kiu ya kusubiri kwa muda mrefu. Baada ya Real Madrid chini ya kocha...
Ligi Kuu

Hapa Boban kule Chujji sio kitoto leo Uhuru!

Baada ya Ligi kusimama kupisha michezo ya timu za Taifa kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, Ligi Kuu Bara (TPL) inaendelea leo kwa michezo miwili. Azam fc watakua wageni wa Mwadui Shinyanga na African Lyon watakua wakiwakaribisha Wagosi wa kaya Coastal Union katika dimba la Uhuru. Mchezo unaotarajiwa kuvuta hisia...
Ligi Kuu

Wateule 20 wa Simba walioifwata Ndanda Mtwara!

Kikosi cha Simba kimekwenda mkoani Mtwara kikiwa na wachezaji 20 tu huku wengine wakibaki jijini Dar na kocha msaidizi Masoud Djuma. Kikosi hicho cha Simba kilichotua Mtwara na ndege majira ya mchana kilipokelewa kwa shangwe na mbwembwe nyingi na mashabiki wa timu hiyo. Wachezaji wa Simba waliosafiri kuelekea Mtwara leo...
Ligi Kuu

Niyonzima na Juuko wamerudi aiseeh!

Ni kama michezo ya kufuzu Afcon nchini Cameron imekuja na neema kwa wachezaji wawili wa Simba baada ya kocha Mfaransa kuwahitaji kikosini kiungo Haruna Niyonzima wa Rwanda na beki Juuko Mursheed wa Uganda. Wachezaji  hao wawili wa Kimataifa  wametakiwa na mwalimu Patrick Aussems baada ya kuonyesha viwango vizuri walipokua wanazitumikia...
Blog

Hiki hapa kikosi cha kwanza cha Stara kwa Mwalimu Amunike!

Mwalimu Mnigeria Emmanuel Amunike  kwa mara ya kwanza anaiongoza Taifa Stars katika mchezo wa mashindano dhidi ya Uganda  huku akiwaanzisha wachezaji wote wanaocheza nje katika eneo la ushambuliaji! Mwalimu anaenda kutumia mfumo wa 3:5:2 ambao umepata umaarufu kwa siku za karibuni hapa nchini. Kikosi kamili kipo hivi: 1. Aishi Manula...
Blog

Yondani aachwa Stars!

Zikiwa zimebakia takribani siku mbili tu kwa Stars kucheza na Uganda jijini Kampala  beki wa kati wa klabu ya Yanga na Taifa Stars, Kelvin Yondani ameondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa kufuatia kupatwa na majeraha ya mguu. Kelvin Yondani sasa ataukosa mchezo huo muhimu wa kuwania kufuzu Afcon nchini...
Blog

Timu ya Taifa yafuzu Afcon Misri!

  Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ya Tanzania imefuzu kucheza Fainali za Africa zitakazofanyika nchini Misri. Timu ya Tanzania imefuzu kucheza Fainali hizo baada ya mpinzani wake Afrika Kusini kuwasilisha barua ya kujiondoa katika mashindano. Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) tayari wametujulisha taarifa hiyo ya kufuzu...
Blog

Taifa Stars hii haijawahi kutokea!

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ''Taifa Stars'' tayari kipo kambini kujiandaa na mchezo wa kufuzu katika fainali za mataifa ya Africa (AFCON) zitakazofanyika nchini Cameroon mwaka 2019. Taifa stars inajiandaa na mchezo wake wa pili wa kufuzu dhidi ya Uganda utakaopigwa jijini Kampala katika dimba la Nambolee. Samata...
1 55 56 57 58 59 66
Page 57 of 66